Filter
Exclude
Time range
-
Near
Maridhiano na akina nani labda tukikubali tutakuwa tumewasaliti ndugu zetu waliotutangulia huu ni upuuzi swatanzania tunataka hawa wauwaje waachie nchi yetu we need new Tanzania
"Tusikubali kuingia kwenya Maridhiano baada ya UCHAGUZI, tukatae kabisaa huu usaniii Mimi binafsi nakataa na Nyie ningependa mkatae. Hakuna Maridhiano baada ya UCHAGUZI" :~ Humphrey PolePole
1
1
2
Maridhiano ni kupoteza pesa za wananchi. Kama kweli Serikali ni makini basi walitakiwa kuingia kwenye maridhiano kabla ya uchaguzi. Yaani unatawala kiimla makusudi kuonea watu makusudi kisha unataka maridhiano? Maridhiano ni ujinga kama Serikali ni makini leteni KATIBA MPYA.
"Tusikubali kuingia kwenya Maridhiano baada ya UCHAGUZI, tukatae kabisaa huu usaniii Mimi binafsi nakataa na Nyie ningependa mkatae. Hakuna Maridhiano baada ya UCHAGUZI" :~ Humphrey PolePole
1