Kyela panaendelea kuwaka bado, nasikia wametangaza hali ya hatari. Waliua sana watu, wakaanza kukamata kila mwanaume, wanaume wengi wakakimbia. Wakabaki wanawake ambao ndiyo walikua wakishirikiana kuchimba makaburi na kuzika waliouawa. Baadaye wanaume wakaona ujinga, wakarudi

Nov 8, 2025 · 2:39 PM UTC

1
3