change tanzania

Joined December 2020
G-Z wa Zambia leo wamempiga mawe Rais wao Hakainde Hichilema, G-Z wamechukizwa na kitendo cha Rais huyo kuhudhuria uapisho wa Samia wakati kuna Wazambia wameuawa Mpakani Tunduma.
Km ilovyo kwa UNHCR kukiwa na wakimbizi ni fursa kwao, FAO kadhalika, WFP na mengine mengi. Hivyo ni muhimu kujisimamia wenyewe km ilivyokuwa kwenye kutafuta katiba mpya Kenya ilikuja kwa umwagikaji mkubwa wa damu, hatimae wanayo na taasisi zake zinatimiza majukumu yake.
kinaendelea. WaNorway na bosi wangu kutoka Redet/Temco wakanionya kwa sikwenda Pemba kuandika ukweli wa nilichokiona kwa sababu kwa kufanya hivyo itawafanya wafadhili wakose kazi na hivyo kutoto fursa za kazi kwao. Fikiria mfadhili anasema kwenye tatizo/changamoto kwao ni fursa.
tuigharamie sisi wenyewe japo inapotupasa kwa damu zetu kumwagika. Mfano mmoja nimewahi kuwa mwangalizi wa zoezi la uboreshaji wa daftari la makaazi kule Pemba kutoka REDET/TEMCO Mfadhili wa zoezi walikuwa ni WaNorway ktk uangalizi/observing nikaandika ripoti yanga ya kilicholuwa
ripoti za ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu lkn kilichotokea ni matamko ambayo hayakuwa na madhara yoyote kwa watawala/wakandamizaji wa haki zenyewe. Hivyo basi pamoja na sisi waathirika wa matendo husika kuwapa ushirikiano lkn ukombozi au haki tunayoitaka ni lazima
Kuna mdau Polycarp kuhusu mashirika yanayojifanya kutetea haki za binadamu nje na ya ndani. Ameyakosoa sana kwa utendaji kazi kwa watoa matamko zaidi ili kujenga pengine uhalali wa kupata fedha kwa wafadhili wao. Mimi ninaungana nae. Uchaguzi 2019/2020 waliandikiwa na kupelekewa
Pamoja na kwamba tumeambiwa kuna maiti zimepakiwa kwenye magari 2 ya kijeshi yakiwa yamejaa maiti huko same, pia TV47 ya Kenya wametangaza huko mabwepande kuna gari 2 kubwa zina maiti nia ni kuzizika ktk makaburi ya halaiki. Wito fuatilieni tupate ushahidi wa baadae!!
1
Huu woga wa nini? Taarifa ya jeshi kuchukua nchi huko Madagasca kupitia StarTv yamekatwa ghafla kwa woga kwamba pengine kungechochea zaidi maandamano tarehe 29/10/2025. Huku ni kuficha kichwa ardhini ilihali kiwiliwili chote kiko juu!
1
Hivi jamani JK mbona hatumwoni akichapa kazi ya kumfanyia kampeni Samia au anachapa kazi kimya kimya!
NIPO MBAGALA NYUMBA YENYE GETI JEUSI
Mmmmh!😷😳😳😳
na ni sawa kwamba mnaunga mkono maouvu, mauwaji, utekaji na dhuluma dhidi ya haki! Mnahudhuria mikutano anayoiita ya kampeni na kumpigia kampeni huku mkijua kabisa hakuna uchaguzi ila kuna uchavuzi! Mtuambie kuanzia sasa ni nani mnayetaka kumtumikia kati ya haki au dhuluma?
Je wale miongoni mwenu wanatetea haki, hilo ni onyo kwao kwamba hampo nae hivyo litakalompata ni shauri yake? Uhalali huu dhidi ya samia bila kumweleza ukweli eg jana amekutana na kardinali na askofu mstaafu Tabora ina maana amekuja kujitakasa kwenu kwa ayafanyayo kuwa ni halali
mahabusu. Mmetangaza kutokujihusisha nao kwa maana ya kuwapa jukwaa kanisani lkn baadhi yenu bado mnajipendekeza kwao. Hivi tuelewe kanisa limegawanyika kiasi hicho, limeshindwa kujisimamia kiasi kwamba kila mmoja anajiendea atakavyo huku waumini wenu mnataacha njia panda?
Kanisa Katoliki mnatukwaza sana sisi waumini: Fr. Kitima alipigwa hatujaambiwa hatua zilizochukuliwa, watu wanatekwa, wanauwawa hatusikii kemeo kutoka kwenu. Mnapokea fedha km zawadi/michango kutoka kwao huku mkijua fedha hizo sio halali. Uchaguzi umeporwa, wapinzani wamewekwa
Takukuru msitumie hizi jumbe kwa sababu tayari nimepokea boda boda na baiskeli ya samia tayari. Mngemwambia samia kabla ya kuzitoa hizi rushwa! USIPOKEE RUSHWA ILI UPIGE AU USIPIGE KURA. PIGA 113 KUTOA TAARIFA ZA RUSHWA.
Ogopa sana Mungu na technologia. Watu wanatumia nguvu kukanusha kauli ya pole pole wakati walikuja hazarani kuelezea. Na cc hatukutilia maanani mpaka polepole kulisema ndio kelele zinaanza