Mimi sio Nabii lakini watu wakitoka mara ya pili that will be war , hakuna mtu atakubali kupigwa risasi akiwa na chupa ya uhai na barakoa.
Mwenye hekima na awasikilize watanzania hawa.😭🙏
Nendeni jela wanangu. Kuna maisha. Kuna wanetu wameishi kule miaka tele. Sio mwisho wa dunia. Kesi za mchongo zina mwisho. Lakini majitoleo yenu yatakumbukwa milele. Jamhuri inawashitaki. Jamhuri ni sisi. Na sisi hatuwadai. Mungu awalinde. Tutashinda. Ninyi & wenzetu wote.
Niliona wamama wanaomboleza kwa ajili ya uchungu wa watoto wao, ndugu hawaoni wapendwa wao. Kilikuwa kilio na majonzi, itafanyika hata mchana. Bila woga wala kificho, hofu itatanda, watu wataomboleza kwa ajili ya wapendwa wao kwa siku kadhaa ndipo nuru itatokea ghafla. Mwenye
Kwa mujibu wa matokeo ya kura ya maoni hapa X pekee ndani ya nasaa 6 wamepiga kura zaidi ya 12k na 80% mnataka maandamano!
Tumewasikia!
Sasa poll inayofuata ni tarehe!
#SaveTanzania
Kwamba walivyosema watu wasitoke nje ili vyombo vya ulinzi vifanye kazi maalumu, kazi maalumu yenyewe ilikuwa ndiyo hii?.
Kuwafuata vijana ndani ya nyumba zao kisha kuwatesa na kuwaua?. Moyo wangu una maumivu mazito...moyo wangu una vuja damu!
Waganga na wachawi wa Tanzania ni ma-bogus, wanachojua ni kulia kwa sauti za fisi, kupaa na ungo, ula unga & mikaa, kuvunja nazi njia panda, kujifanya paka weusi, kunyoana vipara... ila mambo ya kitaifa hawana wanaingia mitini😅😩