Polisi, magereza na wanajeshi mliohusika kutupa na kuficha miili ya watanzania wenzenu
May you never know peace! Damu hizi hazitawaacha salama ila baada ya ukombozi wa pili salama yenu ni kutuambia mliyoyafanya
Mna roho chafu za kishetani
Na madakari mliohusika wote pia mjipange
#SaveTanzania #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo
Nov 8, 2025 · 9:12 AM UTC

























