Day 3,
Since Mange Kimambi aanze kupost Video za Maiti ya watu siku ya maandamano.
Everyday anapost video zaidi ya 10, na kila video waathirika ni zaidi ya mmoja! 💔
Roho za wale watu hazija pumzika kwa amani!
Zinadai haki bado!!
Hawawezi kufa hivi hivi!!
Hapana aisee!
Nov 7, 2025 · 6:01 PM UTC









