Mange katumika kama afisa habari tu, Kuna makundi mengi nyuma yake , Kuna kundi la Magufuli (Polepole mfano mmoja) Kuna kundi la udini(GWAJIMA) Kuna upinzani, Kuna vita ya kiuchumi na Kenya, siyo kundi moja, yote yamekusanya nguvu dhidi ya Samia na nchi.
Kwa NINI mtu kama Mange anasikilizwa kuliko Rais wetu aliyeshinda kwa 97.66%?