Mtotomwema retweeted
"Ni jambo la aibu kusikia wito wa namna hiyo, ni matusi kwa Watanzania lakini pia ni kuvunjiana heshima...Anaridhiana na nani?, kwa sababu gani?...kutokea wapi?."-Wakili mwenye hasira kali Ndugu @TitoMagoti akijibu hoja kuhusu kinachoitwa Maridhiano, nchini Tanzania. REPOST
Mtotomwema retweeted
Jioni hii Jeshi la Polisi limewaachia kwa dhamana viongozi wakuu wa Chama waliokuwa wanawashikilia, viongozi hao ni Mhe. John Heche (Makamu Mwenyekiti Bara) Mhe. Amani Golugwa (Naibu Katibu Mkuu Bara) Mhe. Godbless Lema (Mjumbe wa Kamati Kuu na Mhe. Boniface Jacob (Mwenyekiti Kanda ya Pwani).
Mtotomwema retweeted
Jioni hii Jeshi la Polisi limewaachia kwa dhamana viongozi wakuu wa Chama waliokuwa wanawashikilia, viongozi hao ni Mhe. John Heche (Makamu Mwenyekiti Bara) Mhe. Amani Golugwa (Naibu Katibu Mkuu Bara) Mhe. Godbless Lema (Mjumbe wa Kamati Kuu na Mhe. Boniface Jacob (Mwenyekiti Kanda ya Pwani).
Mtotomwema retweeted
The youth of Tanganyika are ready to be back on the streets on December 9! I have privately talked to a number of them about the risks they said they are ready to die! Sadly @SuluhuSamia will definitely kill thousands more while the World remains silent We are looking at #TanzaniaMassacre 2.0 because global and regional leaders are spewing hot air about “reconciliation” thinking this is a conflict of political parties! This is @SuluhuSamia VS the People of Tanganyika And reconciliation starts with #SamiaMustGo Nothing more nothing less! We want justice and accountability not reconciliation with a mass murderer #TanzaniaMassacre
49
352
12
1,223
Mtotomwema retweeted
Hey @_AfricanUnion the link from your main website is saying “not found” (au.int/en/pressreleases/2025…) Don’t try dubious games ! We are watching you @ymahmoudali - return the press release ASAP! 👇🏾👇🏾 the link to the report is here Preliminary Statement of the African Union Election Observation Mission to the October 2025 General Elections in The United Republic of Tanzania: Link: peaceau.org/en/article/preli…
7
68
205
Mtotomwema retweeted
Msisahau leo #MariaSpaces - mjadala wa taifa unaendelea Mkata swichi atakuwa kazini so mjipange Leo tunajadili Way forward Bunge letu litakuja na maazimio mengine njoo uchangie! Kama kawaida leo usiku!
Mtotomwema retweeted
Streit Group the UAE arms connection that connects Uganda and Tanzania and the role military grade weapons played in the recent massacre 🔥 Things are getting together Streit group is also providing arms to RSF in Sudan The group is owned by Russian Guerman Goutorov 👇🏾 Tutafukunyua kila pande hatutakubali! #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo
Mtotomwema retweeted
Diaspora in Canada continue their protest and raising awareness about #TanzaniaMassacre Asanteni ndugu zetu ✊🏽 hatutanyamaza! 🇹🇿🇨🇦
Mtotomwema retweeted
The way investors are leaving #Tanzania Wawekezaji muda huu 👇🏾 Washasoma ramani wanajua hapatatulia tena! Bila Haki hakuna Amani Maridhiano sijui muafaka ni #SamiaMustGo then #CCM Hakuna namna!
Mtotomwema retweeted
‼️🚨MUHIMU‼️ Naomba taarifa zaidi ya Epifani Shija - askari - Dodoma Mnicheki DM! #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #SaveTanzania
4
106
469
Mtotomwema retweeted
I thought the illegitimate govt of @SuluhuSamia claimed that the hundreds of youth were the cause for unrest and now all is well - even tourists are welcome! Clearly it was nothing but lies DO NOT VISIT TANZANIA unless it is absolutely necessary e.g. @UN delegation to investigate crimes against humanity #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo
#BREAKING: TUNDU LISSU's TREASON CASE ADJOURNED AGAIN OVER SECURITY CONCERNS The treason case against Tanzania’s prominent opposition leader, Tundu Lissu, has been adjourned once again after prosecutors informed the court that the accused could not be brought to court due to security concerns. State Counsel Thawabu Issa told the panel of judges that the Prisons Department was unable to present Lissu in court, citing safety issues. He also noted that key witnesses expected from Ruvuma and Mbeya failed to appear for the same reason. The case, which had previously been postponed on October 3 due to similar challenges, was scheduled to proceed with the fourth prosecution witness. Prosecutors requested a 14-day adjournment to allow the security situation to stabilize. A panel of three judges led by Justice Dastan Ndunguru granted the request and directed that the case resume on November 12. The Prisons Department was instructed to ensure Lissu is present in court on that date.
17
111
282
Mtotomwema retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Novemba 10, 2025 Last time tuliishia part 144 so Leo tunaendelea na-; Part 145 Imepigwa Courttttttttt. Majaji wanaingia sasa. Watu wamesimama na kuinama kutoa heshima. Majaji wanakaaa na karani anasoma namba ya shauri. Mheshimiwa Lissu hajaletwa leo maana kesi inasomwa bila mtuhumiwa. Mawakili wa Serikali yupo Job Mrema, Thawabu Issa na Cathbert Mbiringe. Naona wanateta jambo hapa kimya kimya. Majaji nao wanateta jambo sijui wanaambiana nini? Kuna kimya kinatawala kidogo. Hata wale maaskari magereza ambao huwa wanamleta Mh. Lissu leo hawapo kabisa. Wapo wengine. Sijui kwanini hawajamleta. Anasimama Wakili wa Serikali sasa, anajitambulisha na kuwatambulisha wenzake. Anasema Waheshimiwa Majaji kama mnavyoona Mshitakiwa hayupo mahakamani na sababu za kutokuwepo ni suala la usalama kuwa mdogo. Hivyo tunaomba tupatiwe ahirisho la siku 14 ili tuweze kuja kuendelea kama usalama utakuwa umetengamaaa. Leo ameshindwa kufikishwa kutokana na sababu hiyo tuliyotoa ya hali ya usalama waheshimiwa Majaji. Wakili Thawabu Issa ndio anayeiaddress Mahakama. Anaendelea kusema wao hawakujua kama Mshitakiwa hataletwa walipofika Mahakamani wakashangaa hawamuoni ndio wakaamua kuwasiliana na Mkuu wa Gereza ndie amewaambia kuwa hawatamleta kwa sababu za kiusalama. Thawabu kanyanyuka hapa na inaidress Mahakama ya kuwa Leo wameshindwa kumleta TAL kwa sababu za kiusalama hivyo wanaomba hairisho la siku 14 waweze kuendelea. Jaji anawasha kipaza sauti na kusema; Mahakama baada ya kusikiliza hoja za State attorney inasema kwa leo hatutaendelea kwa kuwa mshitakiwa hajaletwa. Lakini tunaelekeza kwa State Attorney next time waseme hizo sababu za kiusalama ni zipi zinazofanya hadi shauri liahirishwe? Na pia Mahakama haiwezi kuwapa siku 14 kama walivyoomba hivyo shauri linapangwa tena kusikilizwa tarehe 12/11/2025 (Jumatano ya wiki hii) na summons za mashahidi na Mshitakiwa zitolewa na kesho zifuatiliwe na wahusika wafikishiwe. Kwahiyo tunaomba tukutane hapa kesho kutwa. Inapigwa High Courttt nyingine kubwa na ya kidaku sana wanasimam Majaji wanatoka. Leo Jamhuri wameweka mpira kwapani tena. Kumbe Nchi yetu haiko salama kabisa. Tulidanganywa mambo yanaendelea kama kawaida lakini Magereza na Mawakili wa Serikali leo wanatuambiana Mahakamani nchi sio salama kama watu wanavyoweza kudhani. Ndio maana barabara na vyombo vya kumleta Lissu Mahakamani vimeshindikana. Leo siku imekuwa fupi kihivyo. So Tukutane Hiyo Tar. 12/11/2025 saa tatu kamili asubuhi. Naomba Repost yako.
43
366
7
1,272
Mtotomwema retweeted
Samia Suluhu ni rais BATILI! Na wanajua viongozi wote ila wanaleta unafiki tu! Rais mstaafu Ian Khama kasema kile wanachojadili kwenye korido! Ndiyo maana hata Ramaphosa hakumpongeza na wakajichatisha akina Nchimbi eti sijui SADC imepongeza! Hakuna kitu kama hicho! Huyu atakuwa Rais wa DODOMA labda! Na ndiyo maana anatafuta maridhiano sasa watanganyika tunamwambia aridhiane na Nchimbi ila maridhiano pekee ni 👇🏾👇🏾👇🏾 #SamiaMustGo Kwisha maneno #TanzaniaMassacre
Mtotomwema retweeted
"Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. katika homilia aliyoitoa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Misa iliyoadhimishwa Jumatatu Novemba 10,2025 katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Mtotomwema retweeted
This is how they were randomly and recklessly shooting at citizens.
Mtotomwema retweeted
Samia Suluhu’a goons were running over citizens
Mtotomwema retweeted
Samia alitaka kujenga hofu kwa vijana wa Tanzania na kulipa kisasi ila video hii inakuonyesha kuwa alichofanya ni kuwasha moto kwenyw mioyo ya Watanzania. Hapo tayari mwenzao kapigwa risasi mbele yao na bado vijana wanapambana. Wamegoma kukubali
Mtotomwema retweeted
watu wa TikTok wametoa cover treason case nikama movie lakini inamaumivu makali, sidhani kama itaondoka kwenye akili na mioyo ya wa Tanzania hata ichukue miaka 1000, walicho kifanya wameweka video ya matukio yote kipindi cha uchaguzi, chapa Repost 200 kwa eshima ya mashuja
30
241
821
Mtotomwema retweeted
Iringa central police tarehe 30 Oktoba.