🚨 TAARIFA KWA UMMA
Kijana pichani ameonekana mara ya mwisho
#29Oktoba, siku ya maandamano. Alikuwa anafanya kazi Mabibo sokoni tangu siku hiyo hadi leo hakuonekana na hapatikani kwenye simu.
Tafadhali yeyote mwenye taarifa amtafute kaka yake.
No. 0618 244068 – Ibrahimu Zuberi