Naambiwa Gereza la BUTIMBA Mwanza limejaa Wafuasi wa CHADEMA hawana wa kuwatetea kisheria Kama kuna mwanasheria aliepo mwanza Fikeni kesho hapo gereza la Butimba kuna watu wamekamatwa siku ya 29 October na hawajaelezwa kesi yao ni nini . @Advocate_Jebra @advocate_silayo Msaada
5
110
636
Tunajipanga kupitia chapter yetu ya Mwanza! Hakuna Muandamanaji atakosa wakili Tanzania nzima!!!
39
146
3
1,001
πŸ™πŸ™ Mwenyezi Mungu awabariki sana sana Wakili

Nov 9, 2025 Β· 5:51 PM UTC

2