Naambiwa Gereza la BUTIMBA Mwanza limejaa Wafuasi wa CHADEMA hawana wa kuwatetea kisheria Kama kuna mwanasheria aliepo mwanza Fikeni kesho hapo gereza la Butimba kuna watu wamekamatwa siku ya 29 October na hawajaelezwa kesi yao ni nini . @Advocate_Jebra @advocate_silayo Msaada
5
109
622
Tunajipanga kupitia chapter yetu ya Mwanza! Hakuna Muandamanaji atakosa wakili Tanzania nzima!!!

Nov 9, 2025 · 5:39 PM UTC

Lakini kama mwanasheria hukuwakumbisha wasitumie lugha za kihaini kama kupindua au kutoa nafasi Kwa Jeshi kupindua nchi, nyinyi ndio wale wa kufa kufaana.
1
2
Safiiii✅ Mungu awatie nguvu na moyo huo huo ameen
3
27
1
376
Safi sana kaka,tunaomba walau utoe namba tuwachangie chochote kitu hata mafuta @Advocate_Jebra
Thanks Mungu awaongezeee mlipopunguza kwa ajili ya wanaoteseka
MUNGU akutunze kwa kusimamia neno lake kuwasaidia walioonewa kwa ajili ya kupigania haki
Kama kuna michango ingependeza muweke namba tuchangie mapambano aya yanahitaji sana support zetu wananchi
Halafu inasimama Kenge fulani iliyovimbiwa eti tutaanzisha mazungumzo ya maridhiano. Wapewe hongera kwa wanatembea juu ya damu za ndugu zao tuluouliwa na kuweka record ya utawala uliouwa raia wengi ili watawale hata Syria imepitwa!
1
Safi sana aiseee! Yatengenezwe mazingira ya kuchangia ili wanasheria wasipate vikwazo wandugu
Hii inafanyika na ishaanza fanyiwa kazi so wananchi endeleeni kuiamini TLS maana ndio kimebaki chama pekee kinachosimama na wananchi
Yabarikiwe matumbo ya wamama waliowazaaa mawakili wasomi mnaosimama na wanaolia🙏🏻
1
2
Ubarikiwe broo God bless ur team abundantly
ALAFU JITAJIHIDINI KUWAPA WAZAZI WA VIJANA HAWA WASIMLILIE YEYOTE KAMA KUMLILIA MUNGU. KWA KUFANYA HIVYO WANAKUWA WANAMPA UTUKUFU MWANADAMU. INAUMA SANA ILA WAJIKAZE NA KUJITIA NGUVU KWA BWANA. ATATENDA SOON NA KWA WAKATI WAKE
Asante sana brother, na Mungu akubariki na kukutia nguvu..🙏
2
Mbarikiwe ila tunaomba update za mchakato utakavyokuwa unaendelea na kama kuna namna ya kusaidiana
1
Safi sana kaka🙏🙏🙏🙏
🙏🙏 Mwenyezi Mungu awabariki sana sana Wakili
2
Na tupo nyuma yenu kwa hali na mali.🙏🏼
Mungu awabariki sana CHAMPIONS
3
Mungu awape ujasiri katika hili. 🙏🏼
1
𝙼𝚞𝚗𝚐𝚞 𝚊𝚣𝚒𝚍𝚒 𝚔𝚞𝚠𝚊𝚙𝚊 𝙸𝚖𝚊𝚗 𝚗𝚊 𝚂𝚞𝚋𝚛𝚊𝚑 𝚖𝚞𝚠𝚎𝚣𝚎 𝚔𝚞𝚝𝚞𝚝𝚎𝚝𝚎𝚊 𝚆𝚊𝚗𝚊𝚗𝚌𝚑𝚒 𝚖𝚊𝚗𝚊 𝚞𝚔𝚒𝚍𝚊𝚒 𝙷𝚊𝚔𝚒 𝚒𝚗𝚊𝚔𝚞𝚊 𝚄𝚐𝚊𝚒𝚍𝚒 𝙴𝚎𝚎𝚎 𝙼𝚞𝚗𝚐𝚞 𝚝𝚞𝚟𝚞𝚜𝚑𝚎 𝚝𝚞𝚔𝚒𝚠𝚊 𝚠𝚊𝚜𝚑𝚒𝚗𝚍𝚒
1
Thats why me nilichagua kusoma ili nije kusaidia wengine. Brother @Advocate_Jebra im following your steps
1
Safi sana Mr Lawyer moyo wangu umefarijika