News: B.ED (Psy); humanitarian, Husband , Father

Tanzania
Joined April 2012
Are Yemenis not human being? Why should they die of hunger?
8
4
51
Watanzania wamesusiq online media za Tanzania 🇹🇿 ? Sioni hata like 10 kwa kila media.
1
3
17
East Africa will be Free ✊🏽🇰🇪🇺🇬🇹🇿
45
492
13
2,341
George Tibaijuka retweeted
More Problems for Samia Illegitimacy is expensive African leaders must Read the Room
23
496
7
1,485
George Tibaijuka retweeted
Naona baadhi ya watu wanasema niende tu nikajisalimishe Polisi ni salama kuliko wakinikwapua mtaani bila watu kujua. Sasa kitu ambacho hamjui ni kwamba nimeambiwa kwamba Polisi wanahasira sana na mimi na wameapa kwamba wakinidaka, watanifanyia vitu vibaya halafu ndo wanipe hiyo kesi ya Uhaini . Kwahiyo mnataka niende nikajisalimishe machinjioni? Kama kuna kosa nimetenda waende wakanifungulie kesi Mahakamani ila tofauti na hapo ni HAPANA siwezi kujisalimisha.
Hivi ccm ni watu? Let me ask this question. Inawezekaje kuua watu wote hawa na hawaoneshi uzuni yoyote? Adhabu ya watu kuandamana na kuchoma au kuaribu mali ni kuuawa wote ktk maelfu yao? Nani sasa atajenga hiyo miundombinu?
8
Hiki kiburi cha keshi la police kimepitiliza…John Heche mmepeleka wapi ?
3
Bila aibu na kilahisi mtu anakwambia ‘kwa nini waliandamana, acha wakipate’. Kwake kuuawa watu 2000+ anaona ndo adhabu ili wastahili. Iseee kumbe duniani mashetani ni ‘watu’!
5
31
1
130
Hili la watu kutoka nje kuvuruga ‘amani ‘ tar 29 Oct linatafakarisha ! Bilashaka walikuwa maelfu …., walipiga kura? Walipita mipaka ipi? Wamekamatwa? Wameuawa? Vyombo ulinzi havikujua? Propaganda za kijinga….
3
7
George Tibaijuka retweeted
Kwenye Maandamano Ya Desemba 09,Jeshi La Polisi Likitumua Nguvu Kupita Kiasi Kama Walivyofanya Oktoba 29,Bila Shaka Haya Ndiyo Yatakuwa Maandamano Mabaya Kabisa Kuwahi Kushuhudiwa Bara AFRIKA,Hii Inatokana Na Mbinu Zinazobuniwa Na Waandamanaji Ili Kujilinda Na Jeshi La Polisi.
55
357
5
1,178
George Tibaijuka retweeted
‼️🚨FOLLOW THE MONEY‼️ @SuluhuSamia is heavily funded by the UAE that was given the Dar Port and in a secret agreement she signed over all other ports on Tanganyika - a move that caused huge uproar! DP World is the vehicle and since Oct 29 has been affected by the internet outage and is still recovering after the unrest that has contnued and will not stop in the foreseeable future! We are watching their next move because Samia and her family reportedly have luxurious homes in Dubai and are now swimming in money Will UAE back this mass murderer and accept responsibility for the thousands of lives taken ruthlessly by her mercernaries!? #TanzaniaMassacre #SaveTanzania #SamiaMustGo
81
882
32
2,475
let's investigate the possible role of zanzibari haji omar kheir, who continues to 'advise' president samia, in the massacres of thousands of tanganyikan on oct. 29, including why he was appointed in the first place, given his very dirty past: thechanzo.com/2025/11/08/tra…
15
179
578
George Tibaijuka retweeted
Salamu kutoka gerezani Ukonga; Mh Lissu @TunduALissu yupo salama, anawasalimia wote na kuwapa pole Kwa mambo mabaya yaliyotokea kuanzia tarehe 29. Amesema CCM wanazima moto Kwa kumwagia petrol, wataungua wao wenyewe. Tusikate tamaa ushindi umekaribia. Tukutane Mahakamani Kesho
47
331
3
1,612
George Tibaijuka retweeted
‼️THE CURSE OF CAIN‼️ It is not a coincidence that fracticide was severely punished by God with Cain and Abel “Now you are under a curse and driven from the ground, which opened its mouth to receive your brother’s blood from your hand.” Genesis 4:11 This will get worse! You csn’t celebrate a killer and expect to prosper! Power does not change you but show who you really are! Laana za damu hizi mtaanza kuziona kwa hawa waliosapoti udhalimu huu! Sisi tuendelee kupambania ukombozi wetu 💪🏽🇹🇿 #TanzaniaMassacre
George Tibaijuka retweeted
Nendeni jela wanangu. Kuna maisha. Kuna wanetu wameishi kule miaka tele. Sio mwisho wa dunia. Kesi za mchongo zina mwisho. Lakini majitoleo yenu yatakumbukwa milele. Jamhuri inawashitaki. Jamhuri ni sisi. Na sisi hatuwadai. Mungu awalinde. Tutashinda. Ninyi & wenzetu wote.
38
411
5
2,051
George Tibaijuka retweeted
‼️🚨IDIOTIC PLAN OF SULUHU AND HER MURDEROUS CABAL TO IMPLICATE KENYANS‼️ Police are forcing Bodaboda drivers in Musoma to fill in false testimonies that they carried Kenyans across the border on October 29! Fortunately their idiotic plan has leaked! Stop trying to implicate Kenyans @SuluhuSamia Ila nimeamini wamebaki wapumbavu tu ndani ya mfumo! Akili kama hizi hata kuendesha kiosk haitaweza! Hakuna wakenya waliovuka wala nini! Mnatafuta pa kutokea - mmefanya mauaji halaiki ninyi na tuna ushahidi wa kumwaga! Mjiandae kuwajibika acheni kutapatapa! #TanzaniaMassacre #SaveTanzania #SamiaMustGo
George Tibaijuka retweeted
Shame on all of you who keep quiet while the people of Tanganyika are massacred Shame on all heads of state that are trying to sanitize the illegitimate presidency of @SuluhuSamia Thousandsof innocent people were killed in their homes and cars and not protestors only! @IntlCrimCourt Especially @_AfricanUnion @SADC_News @jumuiya - once Tanganyika is liberated we shall revisit! You have proven to be part of the problem not the solution You really think @ccm_tanzania and its murderous cabal will survive this? This massacre was targeted and now can easily reach genocidial level! Speak up now or be silent for ever and be counted as among the enablers of the murderous cabal! #TanzaniaMassacre #SaveTanzania #SamiaMustGo
Ccm walianza hate speeches majukwaani….kudunga wapinzani sumu, kuwapiga na kejeri juu, kuwateka na kuwapoteza, kutopeleka maendeleo jimbo za wapinzani and so forth….sasa uko kwa social media kuna revert back. Tunatokaje hapa ?
4
28
George Tibaijuka retweeted
Nijisalimishe kwa kosa gani yani kuuwa watu muuwe nyie halafu muanze kutusumbua wengine ambao hata hatuhusiki na huo ukatili wenu dhidi ya Watanganyika. Kwa kifupi ni hivi mie siwezi kujisalimisha popote kama mnadhani kuna kosa lolote nimetenda basi nendeni Mahakamani mkanifungulie kesi then tukutane Mahakamani tofauti na ivo ni HAPANA.
George Tibaijuka retweeted
Kama una ndugu jamaa au rafiki ambae ameuwawa kwa kupigwa risasi au amejeruhiwa Tuma taarifa zake kwenye hii namba.