watu wa TikTok wametoa cover treason case nikama movie lakini inamaumivu makali,
sidhani kama itaondoka kwenye akili na mioyo ya wa Tanzania hata ichukue miaka 1000,
walicho kifanya wameweka video ya matukio yote kipindi cha uchaguzi,
chapa Repost 200 kwa eshima ya mashuja